Haya ni Mambo 13 Kwanini Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Tanzania Bara Hayatofutwa.. (+VIDEO)

October 29 2015 ni siku ambayo vichwa vya habari magazetini vimetawaliwa na stori ya kuahirishwa Uchaguzi mkuu Zanzibar pamoja na matokeo yake yote kufutwa. 

Hiyo ni habari iliyotokana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZECJecha Salim Jecha kutangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi huo huku akitaja sababu kadhaa za matokeo hayo kufutwa. 

Hapa ni video ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi NEC, Jaji Damian Lubuva akitaja sababu na kuthibitisha kwamba matokeo ya Uchaguzi mkuu Tanzania bara yataendelea kutolewa.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini