MAAJABU: Kutana na Mchungaji Huyu Anayebebwa Juujuu Kwenye Kiti Wakati Wote wa Ibada...[+VIDEO]

Hiki ni kipande cha video ambacho nimekipata kwenye channel ya KTN Television ya Kenya, hakuna maelezo ambayo yametolewa kuhusu Kanisa lilipo wala tukio lilitokea lini !!..
 
Mchungaji kabebwa juujuu kwenye kiti na waumini huku anaendeleza ibada Kanisani… sijajua huu ulikuwa uamuzi wake kufanya ibada kwa aina hiyo au alikuwa na tatizo jingine…Video hii hapa..

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini