Picha nne za basi jipya la kisasa la klabu ya Mbeya City zipo hapa..

Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya ni klabu ambayo inamilikiwa na halmashauri ya jiji hilo, kama ambavyo kila klabu inatamani kuwa na vifaa vya kisasa, uwanja na rasilimali zake za kisasa kama basi la timu la kisasa tofauti na mabasi madogo yanayotumiwa na timu nyingi za Ligi Kuu, hadi sasa timu zinazotajwa kuwa na mabasi ya kisasa Tanzaniani Azam FCSimbaYanga na sasa Mbeya City. Naomba nikusogezee karibu yako picha nne za basi jipya la Mbeya City.
IMG-20151030-WA0001
IMG-20151030-WA0004
IMG-20151030-WA0005
IMG-20151030-WA0007

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini