Kama Wewe ni Mpenda Soka Hizi ni Mechi 19 Kali Ambazo Hupaswi Kuzikosa Weekend ya November 28 na 29 …

Hii ni kwa watu wangu wa nguvu wapenda soka la Ulaya, Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama ila barani Ulaya Ligi bado zinaendelea kama kawaida, Ligi Kuu Uingereza inaendelea tena Jumamosi ya November 28 na Jumapili ya November 29 sawa na Ligi KuuHispania (LALIGA). Hispania itachezwa michezo tisa weekend hii wakati Uingerezaitachezwa michezo 10. Naomba nikusogezee ratiba kamili ya mechi za weekend hii.
1
Ratiba ya mechi za Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki Jumamosi ya November 28
  • Aston Villa Vs Watford Saa 18:00
  • Bournemouth Vs Everton Saa 18:00
  • Crystal Palace Vs Newcastle Saa 18:00
  • Man City Vs Southampton Saa 18:00
  • Sunderland Vs Stoke Saa 18:00
  • Leicester Vs Man Utd Saa 20:30
Jumapili ya November 29
  • Tottenham Vs Chelsea Saa 15:00
  • West Ham Vs West Brom Saa 17:05
  • Liverpool Vs Swansea Saa 19:15
  • Norwich Vs Arsenal Saa 19:15
2
Ratiba ya mechi za Hispania kwa saa za Afrika Mashariki Jumamosi ya November 28
  • Barcelona Vs Real Sociedad Saa 18:00
  • Atl Madrid Vs Espanyol Saa 20:15
  • Málaga Vs Granada CF Saa 22:30
  • Las Palmas Vs Deportivo de La Coruña Saa 00:00
  • Celta de Vigo Vs Sporting de Gijón Saa 00:05
Jumapili ya November 29
  • Getafe Vs Villarreal Saa 14:00
  • Eibar Vs Real Madrid Saa 18:00
  • Rayo Vallecano Vs Ath Bilbao Saa 20:15
  • Sevilla Vs Valencia Saa 22:30

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini