VIDEO&PHOTOS: Bondia TYSON Fury Amchakaza Mbabe Wladimir Klitschko...Achukua Mataji WBA, IBF na WBO...Shuhudia Ilivyokua Hapa!

Wladimir Klitschko v Tyson Fury (1) Wladimir Klitschko v Tyson Fury (2)
Wladimir Klitschko akitupiana makonde na Tyson Fury.
Wladimir Klitschko v Tyson Fury (3)
Wladimir Klitschko v Tyson Fury (8)
Tyson Fury akishangilia ushindi akiwa na mikanda aliyoshinda.
Wladimir Klitschko v Tyson Fury (4)
Tyson Fury baada ya kutangazwa mshindi.
Wladimir Klitschko v Tyson Fury (6)
Tyson Fury akiwa na mkewe, Paris Fury baada ya ushindi huo.
Wladimir Klitschko v Tyson Fury (10)
Wladimir Klitschko akiwashukuru mashabiki licha ya kupoteza pambano hilo.
Wladimir Klitschko v Tyson Fury (11)
Mke wa Tyson Fury, Paris Fury akimsapoti mumewe.
Wladimir Klitschko v Tyson Fury (12) Wladimir Klitschko v Tyson Fury (13) Wladimir Klitschko v Tyson Fury (14) Wladimir Klitschko v Tyson Fury (15)
Wladimir Klitschko v Tyson Fury (5)
Patashika wakati wa mpambano huo kati ya Tyson Fury na Wladimir Klitschko.
Wladimir Klitschko v Tyson Fury (16)
Wladimir Klitschko akiwa amechanwa usoni na makonde la Tyson.
BONDIA Tyson Fury kutoka nchini Uingereza usiku wa kuamkia leo amechakaza Wladimir Klitschko katika mpambano wao uliopigwa mjini wa Dusseldorf, Ujerumani na kufanikiwa kutwaa mataji ya WBA, IBF na WBO yaliyokuwa yanashikiliwa na Klitschko.
Fury ameshinda baada ya kupata alama za juu kutoka kwa majaji wote watatu wa pambano hilo kama inavyoonyesha 115-112, 115-112 na 116-111.
Klitschko mwenye umri wa miaka 39 amekuwa bingwa wa dunia katika uzani wa uzito wa juu tangu mwaka 2006, akiwa amepigana mapigano 27 na kufanikiwa kuyatetea mataji yake mara 23.
VIDEO HII HAPA

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini