VIDEO: Kutana na AJALI ya KIZEMBE Kuwahi Kutokea!


Hii imetokea kusini Magharibi mwa China na kuripotiwa na kituo cha TV cha CCTV ambapo camera za video barabarani zimenasa tukio la ajali kwenye makutano ya barabara ambapo pikipiki ya matairi matatu ilimgonga mtembea kwa miguu aliyekua anavuka barabara kihalali. 
Hii video imenifundisha kwamba japo inaweza kuwa haki yangu kupita barabarani wakati huo, kuna wakati huwa tunaingia hata na magari barabarani lakini sababu unajua hiyo barabara magari yanayopita ni ya kutokea kushoto peke yake, hauna budi kuangalia hata na kulia tu manake siku hizi kuna vihoja vingi sana barabarani. 
Kama huyu mtu aliyekua anavuka barabara kwenye eneo la watu kuvukia kwa miguu angekua muangalifu kwa kutazama magari yanayokuja labda asingegongwa na dereva huyu ambaye baadae alikiri alikua kanywa pombe, tazama hii video hapa chini…

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini