Wingu lilivyowafungia wachina ndani kwa muda wa siku tatu…

Headlines zimerudi China..mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhari kwa watu kutoka nje baada ya kutokea uchafuzi wa mazingira ulioukumba mji mkuu wa nchini hiyo Beijing.
Mji huo ambao umekuwa katika hali ya tahadhari tangu mwanzoni mwa mwaka huu unasemekana kukumbwa na wingu zito baada ya mkaa kuwashwa maeneo mbalimbali kukabiliana na baridi kali.
ukungu2
Baadhi ya mitaa ya Beijing ikiwa imekumbwa na wingu zito
Serikali ya China imetoa amri ya kutotoka nje kwa mamilioni ya watu kwa nia ya kupunguza madhara hayo kwao kwa muda wa siku tatu tangu jana jumapili na hali hiyo inatarajiwa kuendelea hadi siku ya Jumatano.
ukungu2

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini