10 PICHAZ: RAIS JK ALIVYOHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MOROGORO NA KUFANYA MAJUMUISHO NA WATENDAJI!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent Kalogeris  alipowasili katika ukumbi wa shule ya msingi Gairo ya kwenye kikao cha majumuisho na watendaji wa mkoa huo baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa wa Morogoro


Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla


Rais Kikwete akiwashukuru wafadhili wa miradi ya afya ya mama na mtoto mkoani Morogoro


Watendaji wa kada mbalimbali wa mkoa wa Morogoro katika kikao hicho cha majumuisho


Sehemu ya Wabunge wa mkoa wa Morogoro kwenye kikao hicho


Wabunge wa mkoa wa Morogoro kikaoni hapo


Watendaji wa mkoa wa Morogoro wakiwa kikaoni


Rais Kikwete akiongoza kikao cha majumuisho baada ya kutembekea Mkoa wa Morogoro


Rais Kikwete akiongea kwenye kikao hicho. Kulia ni Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akifuatiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent Kalogeris


Mmoja wa wajumbe wa kikao akielezea jambo 


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera akimshukuru Rais Kikwete kwa kufanya ziara mkoani mwake


Mkuu wa Mkoa wa Mororogo akielezwa jambo na Katibu Tawala wa Mkoa huo Mhe  Eliya Ntandu


Rais Kikwete akimsikiliza Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla wakati wa kikao hicho. Katikati ni Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent Kalogeris



RaisKikweteakiongea na  Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla


Rais Kikwete akitoka nje ya ukumbi baada ya kuhitimisha kikao cha majumuisho


Rais Kikwete akiagana na Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini