JE, WAJUA?! 'MJUSI' WA TANZANIA AMBAYE MABAKI YAKE YALITOROSHEWA UJERUMANI

Haya ndo mabaki ya Mjusi kama yanavyoonekana
Hii ndo sehemu ambako mabaki hayo yalipatikana
UKIACHANA na Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro na hata madini ya Tanzanite, je, wajua kuwa Tanzania ina utajiri ambao ungekuwa kivutio kingine kwa watalaa nchini. 
Kivutio hicho kama kingekuwa hapa nchini ni mabaki ya wanyama aina ya mijusi wakubwa wa walioishi mamilioni ya miaka iliyopita (waitwao dinosaurs) hapa nchini  ambaye alichukuliwa na kupelekwa na wakoloni huko Ujerumani?
  
         Sehemu ambako mabaki hayo yamehifadhiwa
Mabaki hayo  mjusi yalipatikana mwaka 1912 na kusafirishwa kwenda kuhifadhiwa Ujerumani  enzi  zile za ukoloni.  Hivi leo serikali ya Tanzania inafanya michakato ya kuirudisha hifadhi yetu hiyo na mazugumzo yanaendelea.  Mjue ni mjusi wa aina gani na amehifadhiwa mahali gani?

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …