HAYA NDIYO MAJABU YA LADY JAY DEE KUHUSU ISHU YA KUACHANA NA MUMEWE GADNA, INASIKITISHA JAMANI USHAHIDI HUU HAPA...!

 
Baada ya tetesi kusambaa nchini ya kuwa Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee ameachana na mumewe Gadner G. Habash, Lady jay dee ameamua kutoa picha ya mkono wake wa kushoto ukiwa na pete kwenye kidole cha shahada ili kuudhibitishia umma ya kwamba hajaachana na mumewa.
Picha hiyo aliituma kwenye ukurasa wake wa
Facebook
na kuandika maneno yanayoshabihiana na picha hiyo japo wataalam wa mambo wamebaini ni njia ambayo ameitumia Komando kueleza umma juu ya Ndoa yake.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini