SURA NA SAUTI YA WEMA NDIO INANIFANYA NIWESHABIKI YAKE NAMBA MOJA HADI TANO WENGINE WOTE WANAANZIA SITA!!!

Hi Admin, Kwakifupi mimi ni kijana (ME) napenda kuelezea hisia zangu za ushabiki wa kumpenda mwanadada Wema Wasepetu...Toka nipo O Level hadi sasa nipo chuo mwaka wa nne nimekuwa namfuatilia kwa karibu sana mwanadada huyu zamani kupitia magazeti ya udaku na hadi sasa FACEBOOK,INSTAGRAM,TWITTER na hadi kwenye BLOG za Udaku Kama hii....
 
Kiukweli mimi naipenda sura yake na sauti yake....Natamani siku moja nije kuongeanae LAIVU!!! kupitia BLOG hii kama kuna mtu anaweza kunikutanisha nae anisaidie...Kwani naamini mimi ndio shabiki namba moja wa mwanadada huyu wengine wote wanaanzia namba tano na kuendelea...Ombi langu ndio hilo.[ COMMENT HAPO CHINI KAMA UNAWEZA KUMSAIDIA]


Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini