AJALI YA LORI NA GARI DOGO YATOKEA JIJINI DAR,

Lori likiwa limepanda kwenye tuta la Barabara ya Sam Nujoma  baada ya kulikwepa gari dogo aina ya Toyota Corrolla....Askari wa Usalama barabarani akipima ajali hiyo.
 
baadhi ya watu wakiangalia ajali hiyo.

Ajali imetokea maeneo ya Mlimani City jijini Dar ikihusisha magari mawili Lori la mafuta na gari dogo aina ya Toyota Corrolla lenye namba za usajili T 716 ARY.

Lori hilo lilikuwa likitokea Ubungo kwenda Mwenge na  gari dogo lilikuwa likitokea Mwenge kwenda Survey. Katika ajali hiyo akuna aliyepoteza maisha  wala  kujeruhiwa.
Picha na Global Whatsapp

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini