NEW UPDATES: EBOLA YASABABISHA SHULE KUFUNGWA NCHINI NIGERIA!

Kwenye moja kati ya stori kubwa za BBC na hii imo, ni kuhusu shule za Nigeria zilizokua zianze muhula mpya Jumatatu kuagizwa kuahirisha siku ya kufungua muhula hadi October 13 2014 kama moja wapo ya njia ya kuzuia kuenea kwa virusi vya Ebola.

Waziri wa elimu aliamuru zisifunguliwe ili kuwapa Walimu mafunzo jinsi ya kushughulikia ugonjwa huo ambao mpaka sasa umechukua maisha ya raia wake watano.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini