KAMA HAUKUPATA NAFASI YA KUONA PICHA RASMI ZA ASKARI WA KENYA MWENYE UMBO NA 8 ALIEZUA GUMZO HIZI HAPA



Yule Polisi Mwanamke Nchini Kenya kwa Jina Linda Amechimbwa mkwara na Bosi wake wa kituo cha Polisi kiambu Kenya Baada ya Picha yake Kusambaa Mitandaoni Akiwa amevaa Kijisketi cha Polisi kinacho mchora Hips na makalio yake kiasi cha kuleta utata kwenye mitandao ya kijamii kwa kusababisha Mjadala usio na Mwisho kila mtu akisifia hips na kalio lake..Vipi we Mwanamme Trafiki kama huyu akikusimamisha Barabarani ? Najua lazima uchukue Number ya Simu hahahha

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini