AJIRA: JIFUNZE KUJIBU MASWALI HAYA KABLA YA KWENDA KWENYE USAILI (INTERVIEW)

1.Tuelezee kuhusu wewe kwa ujumla (tell us about yourself)
2.Mipango gani umejiwekea kwenye maisha yako? Na umefanya nini kuitimiza?
3. Kwanini Tukuajiri wewe na sio mtu mwingine? (waelezee uwezo wako).
4 Kwa nini unaitaka nafasi/kazi hii? Na kwa nini unaacha nafasi/kazi uliyokuwa nayo?
 (usianze kumkandia mwajiri wako aliyepita kama uliajiriwa)
5 Ni Kipindi gani kigumu ulichowahi kukumbana nacho, na ulifanya nini kukikabili?
6. Tueleze Uwezo na udhaifu wako

7. Unapenda Kufanya kazi katika mazingira ya aina gani?
8. Unafanyaje kukabiliana na “Stress” na kufanya kazi kwa shinikizo?
9 Unaifahamu vipi kampuni yetu?
10. Ni makosa gani Umeshawahi kuyafanya na  unayajutia kwa kiasi fulan? (mtego)
NB: Kumbuka unaweza pia kupewa nafasi ya kuuliza swali lolote hivyo ni vema na wewe ukajiandaa kwa hilo.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini