MFANO WA KUIGWA: ZAMARADI WA TAKE ONE KUASILI MTOTO

Hosti wa Program ya Take One kupitia CloudsTV, Zamaradi Mketema. Host wa Program ya Take One kupitia CloudsTV, Zamaradi Mketema ametangaza nia yake kuwa anataka kuasili mtoto ili kutimiza ndoto yake aliyokuwa nayo tangu akiwa mwanafunzi. 

Akizungumza na mwanahabari wetu, Zamaradi ambaye pia ni mwigizaji, alisema amekuwa na nia hiyo kabla hajajaliwa mtoto hivyo hata alipopata bado anataka kutimiza ndoto yake hiyo. 
“Naumia sana ninapoona watoto yatima japokuwa na mimi ni yatima lakini nia hiyo nilikuwa nayo, natamani sasa kukamilisha ndoto yangu hiyo kwa sababu naamini kabisa nitaweza na Mungu atanisimamia,” 
alisema Zamaradi.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini