BAADA YA KUACHIA VIDEO YAKE MPYA, NAMELESS AFICHUA SIRI ITAKAYOKUACHA MDOMO WAZI.

http://sphotos-f.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-snc7/487528_2443936913782_135194057_n.jpgBaada ya kimya cha muda mrefu msanii maarufu tena mkongwe aliyewahi ku-make headlines na single yake ya sinzia, nameless ameamua kuvunja ukimya kwa mara nyingine kwa kuachia video yake mpya, inayokwenda kwa jina la “Butterfly”, video inayotarajia kumrudisha tena kwenye ramani ya muziki east africa. Mbali na ujio wake huo wa kuvunja ukimya wake ameamua kuvujisha siri ambayo hutoweza kuamini.

Ushawahi kujiuliza katika maisha yako toka kumjua msanii huyu, kwa nini hujawahi kuona akivua miwani yake meusi, msanii huyu siku zote hata akiwa stejini inasemekana katika show hata za usiku, hakuna mtu aliyewahi kuona akivua miwani yake hiyo meusi, Nameless ameamua kufichua siri ya utata huo na kufunguka kuwa kumbe hayo miwani tunayomuona amevaa siku zote, siyo miwani ya jua kama wasanii wengi wanavyopenda kuvyaa kuondoa aibu, ni miwani ya macho tu, sema ameamua iwe staili yake ya kipeke kui-design miwani hiyo kuonekana kama ya kuzuia jua vile.
Nameless 4

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini