TAZAMA VIDEO MPYA KALI TOKA KWA NAY WA MITEGO..NI SHIDAAA NYINGINE MJINI!

Miongoni mwa wanamuziki Tanzania ambao tangu wanaanza kusikika walikua na style ya kuwataja watu moja kwa moja ‘kuwachana live’ watu mmojawapo ni Nay wa Mitego ambaye toka wimbo wake wa Itafahamika hadi huu Mr Nay amekua akiwataja watu moja kwa moja.


Baada ya kutoka kwa wimbo huu upande wa audio miezi michache iliyopita ameamua kuachia video yake ambayo kaifanya Kenya na Director wa video hii anaitwa Kevin Bosco Jnr. Usisahau kuniachia comment mdau! 

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini