Hatimae Mwanamuziki Luteni Karama Amvisha Pete Isabela Mpanda 'Bela'

MWANAMUZIKI Luteni Karama juzi Jumamosi alimmvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi ambaye pia ni mwanamuziki, Isabela Mpanda 'Bella'.

Tukio hilo lilifanyika katika Ukumbi wa Klabu Kakala iliyopo Kigamboni jijini Dar es Salaam wakati wa shoo iliyokwenda kwa jina la Swagaz Night ambapo mastaa hao walikuwa wakipiga shoo.


Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini