5 PICHAZ: Rais Nkurunziza alivyofika Kupiga kura kwenye Uchaguzi leo June 29 2015 Burundi...

June 29 2015 Burundi wanafanya Uchaguzi Mkuu leo, lakini ishu ni kwamba Uchaguzi huo wa Wabunge unafanyika huku vyama vya Upinzani wakiwa wamesusia Uchaguzi huo.. kingine ni kwamba japo kumekuwa na machafuko ya muda mrefu kupinga Rais PiereNkurunziza kugombea kwa mara ya tatu kwenye Uchaguzi huo lakini Ratiba inavyoonesha ni kwamba Uchaguzi wa Rais utafanyika mwezi July 2015.

Leo umefanyika Uchaguzi wa Wabunge, picha zilizoenea Mitandaoni zinamwonesha RaisNkurunziza akiwa anaelekea kupiga kura akitumia usafiri wa baiskeli.




Pembeni ya vituo vya Kupigia kura walikuwepo Askari wakiwa na silaha kuhakikisha Usalama unakuwepo.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini