PICHAZ: INATISHA! CHATU Afa Baada ya Kumeza Nungunungu!

Chatu mmoja aliyejichanganya kichwa kichwa kumeza kila kilicho mbele yake, amepata madhara makubwa sana baada ya kujichanganya na kummeza nungunungu .

Tukio hilo limetokea pande za Bondeni kwa Madiba katika hifadhi ya ziwa Eland. Baada ya tukio hilo, nungunungu alifanya yake huko huko tumboni kiasi kwamba chatu alijikuta hata anashindwa kutembea kutokana na ile miba ilivyozidi kumchoma na kupelekea mauti yake. R.I.P chatu (python) pamoja na nungunungu (porcupine).

Funzo: Sio kila king'aacho ni dhahabu (not that glitters is gold).

This giant snake died after swallowing a 30lb porcupine – which punctured its insides with its razor-sharp quills.
 The four-metre African rock python was found beneath a rocky ledge at Lake Eland Game Reserve in South Africa.
Its innards had been lacerated by dozens of quills from the porcupine while trying to digest its meal.  
Reserve general manager Jennifer Fuller said: 'The exact reasons for the snake's death are not clear.
'It is apparent that several porcupine quills were lodged inside the digestive tract. It had fallen off the rocky ledge.
 'We don't know if it died beforehand or whether the fall drove some of the quills into its digestive tract.'

While some predators will be warned off by the visual threat displays of a porcupine, many snake species rely on thermal or chemical sensory mechanisms to ambush prey at night.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini