VANESSA MDEE LIVE: Aanika Historia na Maisha Yake Kwa Ujumla!

Kwenye kipindi cha Chill na Sky, Fredrick Bundala aka Skywalker amepiga story na Vanessa Mdee ambaye anafunguka historia na maisha yake. Sikiliza show hiyo ya dakika 30 kwa kubonyeza play au waweza download hapo chini... 

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini