Alichokisema Mtangazaji Salma Jabir Baada ya Kudaiwa Kutoka Kimapenzi na Director wake Hiki Hapa.

Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii utakuwa uliwahi kukutana na picha ya mtangazaji na pia mwongozaji wa kipindi cha Mkasi Salama Jabir akimpiga busu mmoja kati ya director wa kipindi ca mkasi mwenzie na kupitia page yake ya Instagram alizungumza hya hapa

''Wapendwa naombeni twende sawa hapa kidogo,,,ile picha ya masinema ya mabusu,,nothing is serious ni katika vijimambo tu vya location,,and the lucky guy happened to be a brother Mr Josiah "Josh"Murunga ambaye ni producer na director wa MkasiTv! Who is married! so nothing serious!..its just a brother and sister love(bloodline)..Nafahamu wengi mnahamu ya kumjua Hubby ake,,,basi Inshallah siku ikifika mtamjua!''

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini