NEWS ALERT: AJALI YA BASI LA SIMBA MTOTO KUGONGANA NA LORI MTO WAMI

Basi la simba mtoto limegongana na lori muda huu mto wami na picha hii inaonesha taswira halisi ya ajali hiyo

Tutawapa taarifa zaidi baadaye

Picha na Frank Msaki

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini