Mchawi Akutwa Amenasa Kwenye Chemba ya Maji Taka



Ni Jambo la Ajabu Kila Mtu alijiuliza huyu Mwanamke Ameingiaje Kwenye Chemba Hiyo , Tukio hilo limetokea Mjini Lagos Siku ya Ijumaa…

Inasemekana Mwanamke huyo alisikika akipiga kelele kutoka kwenye chemba hiyo ambayo ilikuwa haina sehemu ya kutokea bali matundu madogo ya kutolea maji na uchafu …Watu walioshuhudia tukio hilo walibaki na maswali ameingiaje humo na wakati hakuna sehemu ya kuingia…ili kumtoa ilibidi wananchi watafute vifaa vya kukatia chuma ili kukata mifuniko ya chemba kumtoa..

Alivyotoka alisema meneno haya ,Jina langu ni Amudat Jimoh :

“Ni mungu ndio ameniweka huko kwenye chemba ili nitubu madhambi yangu nisije kufa…nahitaji maji ya kunywa tafadhali..Please help me..”

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini