Number One need of a Male is Sex, what about a female need?

Kwa watumiaji wa whatsapp nadhani watakuwa wameshawahi kuisikiliza hii audio ya huyu pastor(am not sure if he is a pastor).
Katika hii audio anaelezea kwamba number one need of a male(not a man coz a man is a spirit and a man needs God) is sex.

Kwa hakika nakubaliana nae kwa asilimia 2000(kama zipo lakini). anasema kwamba male wameumbwa ili watoe uzao na waendeleze vizazi(male purpose) lakini ili watimize kusudi lao ni lazima wawe na hitaji lao ambalo ndio hio "SEX".

So nimeisikiliza sana hii audio na nikagundua kwamba pastor atakuwa kawasaidia sana wale wanawake ambao walikua hawajui hili jambo(hata na wanaume pia nao tumo)

Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua kama NUMBER ONE NEED OF A MALE IS SEX,WHAT IS A NUMBER ONE NEED OF A FEMALE?

Ningependa nipate majibu from you ladies in here what do you think is your NEED?

A NEED AND NOT A PURPOSE OR WANT.

Tusaidiane jamani nini hasa ni HITAJI lenu kuu ukiacha kusudi lenu la kuumbwa?

Is it CARE?

Is it ATTENTION?
Tusaidiane jamani ili tujue tunasaidianaje baada ya kujua hili jambo.

Nawaalika wadada wote wa humu na hata wakaka pia kama unahisi unajibu la hili swali wewe jibu tuu.

NATANGULIZA SAMAHANI KAMA KUMEWAHI KUWEPO NA UZI WENYE SWALI SAWA NA HILI

ASANTENI SANA.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini