Uchaguzi Serikali za Mitaa wapamba moto Musoma vijijini


Katika kile kinachoonekana ni kujiandaa na uchaguzi wa Serikali za mitaa hapo baadaye tayari vyama vipo katika harakati za kuhakikisha vinabaki madarakani.

Katika hatua hiyo tayari chama kimoja kikongwe nchini, ambacho pia wanakitaja kuwa ni chama kinachotawala CCM, Tayari kimesambaza simu za mchina za mkononi kwa viongozi wa Serikali ya kijiji yaani kila balozi hapa wilayani Musoma kijijini huku wakipinga vikali kuwa hatua hiyo si RUSHWA bali ni TAKRIMA.

Sambamba na hilo, Serikali hiyo wameanzisha mpango kabambe kuelekea UCHAGUZI wa Serikali za mitaa wa kuwahudumia Eti wazee wa umri mkubwa kwakuwapatia 8000/= kwa siku eti huduma ya mlo kwa siko pasipo kutaja mwisho wa mkataba huo.Hata hivyo tayari hata hii wanaiitayo TAKRIMA kwa wazee imeshaonekana inaalama za kisiasa hata kwabala ya Implimantation kwani kwa familia zile zinazoonekana ni chama pinzani basi wazee wa familia hizo hutajwa vijana wao wanauwezo hivyo watawahudumia.

Karibu CCM , mrejeshe zile fwedha mlizokusanya BMK kwa wananchi.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini