T.I ‘Tanzania ilikuwa Mzuka Sana, Sikuona Dalili yoyote ya Kuwepo Ebola

Baada tu ya kutua Marekani akitokea Tanzania, waandishi wa habari wa TMZ walimtime kwenye uwanja wa ndege na kumuuliza suala ya kusuluhisha beef ya Iggy Azalea na Snoop Dogg pamoja na show yake ya Dar es Salaam.

How was Tanzania man?” mwandishi wa TMZ aliuliza na T.I. kujibu: It was awesome man, it was an awesome experience.”

“Did you have to take any precaution about the Ebola stuff going on,? aliuliza mwandishi.

“I mean man for real, it never came up, I never saw any signs of it, I never saw anything me think of it, except for ignorant comments on my timeline,” alijibu T.I. akimaanisha comments za Instagram kuhusu Ebola.

See Video: 
~Bongo5

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini