Baada ya Kampeni za CCM Kwisha Aunty Ezekiel Anunua Gari Jipya...Mwenyewe Adai Hajanunua Kwa Pesa za Uchaguzi!

Mwaka 2015 unamalizika kwa Wasanii
kadhaa wa bongo movie na bongo fleva
wakiwemo wa zamani na wa sasa
kuonyesha mali zao kama magari
pamoja na nyumba wanazomiliki au
wanazozijenga.
Stori hii ninayotaka kukusogezea
inamuhusu Aunt Ezekiel ambae siku
kadhaa zilizopita alikua kwenye
headlines za kuhusiana na kusupport
majukwaa ya kisiasa.
Aunty alipost picha ya gari lake jipya
kwenye instagram na kuandika kuwa
gari hilo halijatokana na fedha za
kampeni ya chama chochote bali
amezawadiwa na mpenzi wake ambaye
ni dancer wa Diamond Platnumz aitwae
Moze Iyobo….’
Baada ya kupost picha ya hii AUDI,
Aunty aliandika >>> ‘My new bby,
Thanks a million baba
Cookie#kwauchaguzi mana hamchelewi,
we ni zaidi ya kiboko yangu
#birthdaypresent# mana hamchelewi
kusema CCM #happyfamily’

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini