BREAKING NEWS: Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Zanzibar Yafutwa Rasmi

: Matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar yamefutwa, madai ni haukuwa huru na haki.
Sababu nyingine iliyochangia kufutwa kwa matokeo hayo ni pamoja na ikiukwaji wa sheria ikiwemo mgombea Maalim Seif kujitangaza kwenye matokeo kuwa mshindi. 

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini