Update: Dr. MAGUFULI Akabidhiwa Rasmi CHETI Cha Ushindi wa Kiti cha Urais [+VIDEO]

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amemkabidhi cheti cha ushindi wa kiti cha urais, Dk John Pombe Magufuli na mgombea mwenza wake Samia Suluhu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee asubuhi hii.

Katika tukio hilo, Wagombea urais wa Chadema Edward Lowassa na Hashim Rungwe wa Chauma wamesusia sherehe hizi za kukabidhiwa cheti cha ushindi Dk John Magufuli wa CCM. 
Tazama Video hii kujionea Walivyokabidhiwa vyeti

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini