VIDEO ya Lumumba Dar es Salaam wana-CCM Baada ya Ushindi wa DR. MAGUFULI

Baadhi ya wanachama wa CCM walikutana kwa pamoja katika Ofisi za Chama hicho jioni ya October 29 2015 kusherehekea ushindi iliomtangaza Dk. John Magufuli kuwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ataongoza Serikali ya awamu ya tano.

Video ya kutoka Lumumba Dar es Salaam hii hapa wanaCCM wakisherehekea ushindi waDr. Magufuli.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini