Matokeo Rasmi ya Ubunge Jimbo Arumeru Magharibi, ARUSHA

Jimbo la Arumeru Magharibi: Olemeiseyeki Gibson wa Chadema, ameshinda kwa jumla ya kura 94354 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Sabaya Thomas wa CCM, aliyepata kura 32831.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini