Jimbo la Kalambo, Rukwa: Matokeo Rasmi ya Ubunge Haya Hapa

Mkoani Rukwa katika Jimbo la Kalambo: Kandege Sinkamba wa CCM aibuka kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge kwa kupata kura 36,582 dhidi ya mpinzani wake Sichone Mateni wa CHADEMA kupata kura 31,102

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini