Matokeo Rasmi ya Ubunge Jimbo la TEMEKE, Dar

Abbas Mtemvu (CCM)
Jimbo la Temeke: Mgombea Ubunge (CUF) kwa Jimbo la Temeke, Abdallah Mtolea ametangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hilo akipata kura 103,231 akimwangusha mpinzani wake Abbas Mtemvu (CCM) aliyepata kura 97,555.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini