2 VIDEOS: Kutana na VITUKO Vya Rais UHURU KENYATTA wa Kenya... Wananchi Wake Waja Juu ...Lazima Ukae!

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa hii itakuwa ni mara ya pili kumuona Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anakaa kwenye kiti cha dereva na kujiendesha mwenyewe kwenye gari !! 

Hii mpya ni kipande cha interview aliyofanyiwa Rais Kenyatta na mtangazaji wa Citizen TV, Jacque Maribe… ni kipande cha sekunde 15 za promo ya interview hiyo lakini inaonekana Wakenya wengi hawajapenda kuona Rais wao anaendesha gari huku akiwa hajavaa mkanda.
Video yenyewe hii hapa.

Video nyingine ni hii hapa, Rais Kenyatta akijiendesha mwenyewe kwenye gari baada ya Mahakama ya ICC kufuta mashtaka yake.


ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini