New Video: Peter Msechu – Malava

2015 haukuwa mwaka mbaya kwa muimbaji Peter Msechu, ambaye mbali na kutengeneza mkwanja mrefu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliopita, lakini pia aliweza kuachia kazi kadhaa ikiwemo wimbo huu ‘Malava’. Msechu anauanza mwaka mpya 2016 kwa kutambulisha video ya wimbo huo ambao audio yake ilitoka mwezi November, 2015. Video imeongozwa na director wa Kenya, Kevin Bosco Jnr. ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini