Picha,Shilole ajutia kuchora tattoo ya Nuh Mziwanda kifuani.




Msanii wa bongo fleva Shilole aliyekuwa na mahusiano na Nuh Mziwanda ameweka wazi hisia zake juu ya mtu kuchora tattoo sababu ya mapenzi nakusema ” Simshauri mtu yeyote achore tattoo kwa sababu ya mapenzi “.


Kauli hii imetoka baada ya Shilole kuachana na Nuh Mziwanda. 
” Sina tattoo tena nimeamua tu kuifuta,tutapendana tu kama ni mapenzi tutapeana ya rohoni,mambo ya kuchorana tattoo nimeshaacha,nishaona hakuna sababu ya kuchora unaweza kuchora tattoo ukazuia mambo yako mengi yanayopita “



Shilole alimalizia kwa kusema ” Nimeona mwenyewe madhara yake kwahiyo simshauri mtu achore tattoo kwa ajili ya mapenzi nimeamua kufuta tattoo niliyomchora Nuh kwa sababu haina sababu ya kukaa kwenye mwili wangu ” Alisema Shilole


ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini