Tekno amchana mrembo huyu wa Bongo aliyedanganya amelala naye

Msanii wa Nigeria, Tekno amemchana model wa video na msanii mchanga, Gigy Money aliyezusha kuwa amelala naye kwa kupost picha Instagram akiwa naye chumbani.Gigy
Gigy Money alipost picha hii Instagram akiwa chumbani na Tecno Katika kuhakikisha kuwa wanaelewa ujumbe wake, Tekno aliandika ujumbe wake wa Kiswahili (ofcourse aliandikiwa na mtu, wengi wanahisi ameandikiwa na Lulu) Select Month “Hahahahaha we malaya umelala na manager wangu alafu ukaletwa chumbani kwangu maana uliomba upige picha na mimi. Sahivi unaleta story huko kuwa umelala na mimi. Picha itakaa kwa dakika 20 tu . Katafute maisha Gig. LULU ulitisha heshima nyingi zikurudie kwako! Still love my Tanzanians forever.”Kabla ya hapo Gigy alikuwa ametoka kuyaoga matusi kutoka kwa mashabiki kiasi cha kumfanya aandike ujumbe huu: When You Know Bitches wanna be you and Wish it was Them….Relax bitches my lane is way Up for you to deal with it…..If I gave him P*ssy that’s none of your business and If I didn’t its still doesn’t concern you…. Keep Talking As*whores and Entertain your shitty mouths….F*ck Off Bitches.
Tekno akiwa na Lulu


ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini