breaking news= basi la kampuni ya Luwinzo Dar es Salaam na Njombe lapata ajari..



Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya Basi la abiria la Kampuni ya Luwinzo linalofanya safari zake Dar es Salaam na Njombe kuligonga Lori asubuhi ya leo likitokea njombe kuja Dar es Salaam.

Taarifa zaidi baada ya muda mfupi ujao.

AJALI mbaya imetokea leo asubuhi baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Luwinzo linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Njombe, kugongana na lori wakati basi hilo likiwa linatoka Njombe kuelekea Dar es Salaam na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Ajali imetokea katika eneo la Kinegembasi, Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi mkoani Njombe.


ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini