Popular posts from this blog
Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama
Meli ya uokoaji Waokoaji wamekuwa wakipambana na upepo mkali pamoja na mawimbi ya bahari gizani kuwakoa karibu abiria 300 ambao wamekwama ndani ya ferry moja ya Italia iliyokuwa imeshika moto kwenye bahari ya Adriatic. Maofisa nchini Italia wanasema kuwa oparesheni ya uokoaji itandelea.Hadi sasa watu 190 wamekolewa kutoka kwa ferry hiyo.
PICHA ZINATISHA:MMILIKI WA SAMAKI SAMAKI 'NYUMBANI PARK' AVAMIWA KUJERUHIWA NA KUPORWA FEDHA MOROGORO!!!
Sehemu alizoathirika Mkurugenzi mtendaji wa Nyumbani Park & Samaki Sport Farida mess Matlou alivamiwa na majambazi na kumjeruhi. Tukio hilo la aina yake lilitokea wiki iliyopita usiku wa tarehe 19 kuamkia 20 maeneo ya nyumbani kwake Kihonda. Kwa taarifa zilizofikia mtandao huu ni kwamba tayari watu wawili wamekatwa kuhusishwa na tukio hilo Mkurugenzi huyu alivamiwa usiku wa saa saba!