Breaking News: Kesi ya kupinga bomoabomoa Kinondoni yasogezwa mbele hadi saa 8 mchana


Baadhi ya wananchi ambao wamekumbwa na wengine wakiwa bado hawajafikiwa na bomoabomoa hiyo wakiwa wamekaa nje ya mahakama kuu ya ardhi kusubiri hatma yao



Kesi ya kupinga kubomoa nyumba katika mabonde ya Kinondoni ambayo ilikuwa isikilizwe jana jumatatu na kuhairishwa hadi leo jumanne, januari 5 imehairishwa kwa muda kusikilizwa hadi saa nane mchana.

Tayari magari ya Polisi ya washawasha na vikosi vya ulinzi vimetanda nje ya mahakama kuu ya ardhi kwa ajili kuhakikisha kunakuwa na hali ya usalama katika eneo hilo.

ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini