Kundi la Muziki la Navy Kenzo Lambwaga DIAMOND Katika Video 50 Zilizobamba Zaidi MTV Base Mwaka 2015 Lashika Namba 4

Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo huo wa Nana Pia Umetengenezwa na Producer Nahreel Kitu kinachomfanya Aendelee kuwa Producer Bora zaidi Kuwahi kutokea Tanzania na East Africa kwa Ujumla.
Mwimbaji Wizkid wa Naigeria Ameshika Namba 6.
Pongezi ziende kwao @nahreel,@aikanavykenzo wanaounda Kundi la Navykenzo.Pia Pongeze Kwa Diamond Platnumz kwa Kuwa Namba 5 Katika Chat Hiyo...