WEMA SEPETU Atupia Post TATA Mtandaoni na Kuzua SINTOFAHAMU Kubwa Kwa Mashabiki Wake!

Katika page yake ya instagram, staa mrembo Wema Sepetu aka Madame amewataka wote wanaompigia kelele kuhusu kuzaa mtoto wamkome, kwani hana mpango huo kwa sasa. 
Hiki hapa ndicho alichokiposti;


“Okay… Lets get things straight here…. See dat doggie up there… Y’all see her….? Dat is my bebi…. since i dont have a bebi… Huyo ndo mtoto wng… Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta… Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai… Akha…!! Zaa zaa… If u have a child im happy for u… Nd wish u da best… I dont… Ndo mungu alivyonipangia… So please hey…. Watakaozaa all da best… Walio na mipango ya kuzaa hongereni… Mimi sina … Im done… Vanilla ndo bebi wangu kipenzi na nampenda kuliko…. Na wale wa subhannah llah pia nisiwaone… This is getting too personal sasa…

ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini