Watanzania 8 Wakiwemo Polisi Wafariki Dunia Kwa Kusombwa na Maji Kibaigwa Mkoani Dodoma


Watu wanane wakiwamo askari wa jeshi la Polisi,watoto wawili na wapita njia wawili wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji katika eneo la Kibaigwa Bwawani mkoani Dodoma.

Naibu Kamishna mwandamizi wa jeshi la Polisi David Misime amethibitisha leo kutokea kwa vifo hivyo.

ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini