Nakukutanisha na PICHAZ 20 za Jiji la Mwanza… Haya ni Maeneo ya Capri Point

Leo ni siku ya 3 tangu tumeuanza mwaka 2016 najua kuna watu wangu malengo yao nikuwekeza zaidi mwaka huu, labda ungetamani kupata nyumba kali uimiliki mwenyewe mtu wangu maeneo maarufu ya mji uenjoy na familia yako ulichokitafuta mwaka mzima…eneo ninalotaka kukuonyesha ni kutokea Rock City Mwanza jiji lenye miamba ya mawe Capri point…naambiwa ndio sehemu yenye thamani zaidi Mwanza kupata nyumba au kiwanja, nimekusogezea baadhi ya picha za muonekano wa mijengo Capri point Mwanza…. 
Japo ni mlimani ila kuna barabara za lami kabisa 
Mjengo wa nguvu juu ya mlima 
Muonekano wa ziwa Victoria ukiwa Capri point 
Lazima ukutane na miamba ya mawe yaani 
Mtu wangu kuna barabara za ngazi kabisa 


Ubunifu mzuri wa kuvutia kwenye geti la mjengo 
Barabara ya kwenda town Mwanza


Jamaa kaamua kutumia mawe mwanzo mwisho 


Mjengo wa nguvu 
-via millardayo

ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini