KUMEKUCHA! Haya Hapa Majina ya Wabunge Walioshinda Kabla Hata ya Uchaguzi October 25

Kwenye ukweli tuweke mambo ya vyama pembeni kwa maslahi ya taifa.
Kuna baadhi ya wabunge lazima warudi bungeni kwa ushindi wa kishindo na wengine hata wakionga migodi hawawezi kurudi mfano ni Tibaijuka na Asumpta Mshana. 

Baada ya kuzunguka nchi nzima nikifanya research nimepata haya majina ya wabunge walioshinda kabla hata ya uchaguzi
.Sugu, Wenje, Lissu, Mnyika, Mbatia, Mdee, Joseph haule, Msigwa, Mkosamali na Kafulila
Hebu na wewe nipe majina ya wabunge ambao tayari wameshinda kwa AJILI ya bunge lijalo

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini