PICHAZ NYINGINE ZAIDI: Lowassa Alivyofunika Jijini Dar!

12.Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe (wapili kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea urais Mhe.Lowasa.
Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe (wa pili kushoto),  akimkabidhi fomu Lowassa.
10.Lowassa akizungumza jambo.
Lowassa akizungumza jambo katika hafla hiyo.
11.Meza kuu,kutoka kushoto,Mke wa Mhe.Edward Lowassa,Regina Lowassa,Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrosia na Maendeleo,Freeman Mbowepamoja na Mgombea Urais kupitia Chama hicho,Edward Lowassa.
Kushoto ni mke wa Lowassa, Regina Lowassa, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Lowassa.
2.Umati wa watu uliohudhuria katika Makao Makuu ya Chama Cha Demokrosia na Maendeleo Chadema, kwa ajili ya kumshudia Waziri Mkuu wa zamani katika uchukuaji wa fomu ya kugombea urais.
Umati  uliohudhuria makao makuu ya Chadema kwa ajili ya kumshudia waziri mkuu wa zamani katika uchukuaji wa fomu ya kuwania kugombea urais.
1.
Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walivyojipanga kabla ya kufika Edward Lowassa makao makuu ya chama hicho Kinondoni, jijini Dar es Salaam leo ili kuchukua fomu za kuwania kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
3.Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wamejipanga katika kumpokea mhe.Lowasa.
 Baadhi ya wananchi  wakiwa tayari kumpokea Lowassa.
4.Viongozi wa Chama Cha Demokrosia na Maendeleo Chadema wakiwepo wabunge,Ezekiel Wenye (kulia) pamoja na Mchungaji Piter Msigwa (watatu kutoka kulia) wakiwa katika mkutano huo.
Viongozi wa Chadema wakiwepo wabunge Ezekiel Wenje (kulia) na Mchungaji Peter Msigwa (wa tatu kutoka kulia) wakiwa katika mkutano huo.
5. Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema ,(kushoto) akiwa na viongozi wengine wa Chama wakiwa katika mkutano huo.
Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema (kushoto) akiwa na viongozi wengine wa chama.
6.Wafuasi wa Chama cha Demokrosia na Maendeleo wakishikiria mabango.
Wafuasi wa Chadema wakiwa na mabango.
7.Gari la Waziri Mkuu wa Zamani Mhe,Edward Lowassa alipowasili katika Ofisi za Chadema, Kinondoni kwa ajili ya Kuchukua fomu ya kugombea Urais.
Gari la  Lowassa likiwasili ofisi za Chadema, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
8.Umati mkubwa ukihitaji kumwona wakati akishuka katika gari lake.
Wananchi wakiwa na hamu ya kumuona Lowassa.
9.Waziri Mkuu wa Zamani Mhe,Edward Lowasa mara baada ya kushuka kwenye gari lake hali ilivyokuwa.
Lowassa baada ya kushuka kwenye gari lake.
PICHA: DENIS MTIMA/GPL

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini