Majibu ya Sheikh Shariff kwa Soudy Brown kuhusu ishu ya kuoa mke wa mtu…. (+Audio)




Soudy Brown alianza na stori inayohusu jamaa mmoja ambae anadai kwamba Sheikh Shariff amemchukulia mkewe, baada ya madai hayp Soudy Brown kamcheki Sheikh Shariff ili apate majibu ya ishu yenyewe.

Sheikh Shariff amesema ni kweli amemuoa mwanamke huyo kwa kuwa tayari aliachika na taratibu zote zilifanyika kwa hiyo alimuoa akiwa tayari kaachika na hakuwa mke wa mtu.

Kingine ni kwamba Sheikh Shariff amesema tayari ndoa yao inaendelea na tayari mwanamke huyo ana ujauzito, kwa upande wa mwanamke amesema waliachana toka mwezi wa nne 2015 na hana habari nae tena toka hapo.

Iko kwenye hii sauti, wote watatu Sheikh Shariff na mkewe pamoja na mwanaume wa kwanza.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini