AIBU! Mdada BELA wa Bongo Muvi Atupia PICHA ZA UTUPU Mtandaoni Kutafuta Kiki! Ajisifia Bila Kujali Sheria Mpya....

ISABELA.pngKATIKA kile kinachoaminika kama ni kutafuta kiki, Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amepiga picha za utupu na kuzitupia katika mitandao ya kijamii akiwa katika pozi mbalimbali.
Rafiki yake mmoja (jina linahifadhiwa) aliyelinyetishia gazeti hili kuhusu uwepo wa picha hizo, alisema kwa jinsi picha hizo zilivyo ni wazi kuwa endapo sheria ya mtandao itafanya kazi yake, basi mrembo huyo atakuwa matatani.
Gazeti hili lilipowasiliana na Isabela baada ya kuziona picha hizo na kutaka kujua jinsi atakavyoshughulika na sheria ya makosa ya mtandao alisema; “Picha siyo kitu cha kunifanya nishtakiwe kwa sababu simtukani mtu, wala mavazi yangu siyo sababu ya kuchukuliwa hatua labda wanaopitia sheria hii wawe hawana kazi ya kufanya.”

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini